"Ni jumapili tulivu sana ambayo imejidhihilisha tangu jua linachoza, kwani hakukuwa hata na dalili ya wingu angani kukionekana safi na kumependeza kwa rangi ya bluu bahari.
Baada ya kutoka kanisani nilikaa nyumbani kwangu nikiwa mpweke kani nilikuwa peke yangu. Nyumba niliiona kubwa mno kwasababu kila nilipokanyaga nilikuwa peke yangu, sina wakuo"...