MTOTO WA KIGOGO
"Nje ya The Kiss Kilub, maeneo ya Kirumba jijini Mwanza anaonekana kijana mrefu na Mwembamba wa wastani alikuwa kavalia jeansi ya rangi ya bahari na T-shart isiyo na mikono yenye nembo ya NBA (ligi ya kikapu ya marekani). Baada ya kuwapita walinzi mlangoni anasimama mbele yao na kuanza kuangaza kulia na kushoto kana kwamba kuna mtu alikuwa akimtafut"...

Ili uweze kusoma hadithi hii sajili au ingia