"Jina la simulizi: Hakurejea.
Jina la Mtunzi: Emmanuel Venance.
Sehemu 1.
Simu No. 0768753437
Baada ya kutoka kanisani jumapili hiyo asubuhi nikafika nyumbani nakuingia chumbani kwangu kubadili nguo, kisha nikarejea sebureni nikiwa na sinema zangu mkononi kama ilivyo kawaida yangu mpaka leo hii mimi ni mpenzi wa sinema za kimarekani hasa (actions "...