"Baada ya kutoka kanisani jumapili hiyo asubuhi nikafika nyumbani nakuingia chumbani kwangu kubadili nguo, kisha nikarejea sebureni nikiwa na sinema zangu mkononi kama ilivyo kawaida yangu mpaka leo hii mimi ni mpenzi wa sinema za kimarekani hasa (actions movies) na ratiba yangu kuu huwa ni jumapili kuanzaia saa 4 au 5 asubuhi mpaka saa sita usiku h"...